Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA EGPAF WIKI YA VIJANA MKOANI TABORA

Kushoto ni mratibu wa EGPAF mkoa wa Tabora Alphaxard Lwitakubi akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la  EGPAF jan katika maadhimisho ya wiki ya vijana na uzimaji wa mwenge wa uhuru,maadhimisho hayo yanafanyika katika  viwanja vya Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora
 Kulia ni mratibu wa mawasiliano wa shirika la EGPAF,Mercy Nyanda akitoa maelezo kwa wageni walitembelea banda hilo jana
Wakuu wa wilaya kutoka mkoa wa Kagera pia walitembelea banda la EGPAF


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com