<<BONYEZA MANENO HAYA TUKUTUMIE PICHA ZA VITUKO NA VICHEKESHO>>
Kenya Kimenuka kwa Wanawake Wanaovaa Nguo Fupi ama Suruali za Kubana na Kuachia Makalio , Mpaka sasa yameripotiwa matukio kadhaa ya wanawake waliovaa min Skirts kushambuliwa na kuvuliwa nguo hadharani mbele za watu .
Kufuatia umbo la kali na nguo yake yenye kuonesha maungo yake wananchi walishindwa kujizuia na wakatamani kuona kila kitu
Angalia hapa chini video ya yule mwanamke aliyevuliwa nguo hadharani baada ya kuvaa nusu uchi huko Kenya
Maandamano hayo yamefanyika chini ya kauli mbiu 'My dress my choice'
Wanawake wengi walikerwa na kitendo hicho wakisema kuwa kila mwanamke ana haki ya kuvaa mavazi yanayomfurahisha.
|
Hiyo wiki jana kanda ya video ilisambazwa kwa mitandao ya kijamii ikionyesha mwanamke huyo ambaye hakutajwa jina hadi sasa akivuliwa nguo zake na wanaume katika kituo cha magari ya abiria kati kati mwa Nairobi.
Wanawake mashuhuri wakiwemo wasanii, wanasiasa na wanaharakati walilaani kitendo hicho wakihoji kwani mavazi ya mwanamke yanamhusu nini mwanamume ambaye sio mumewe wala jamaa yake.
Baadhi walikitaja kitendo hicho kuwa cha kinyama na kinachokiuka haki za wanawake.
Msanii mmoja mashuhuri Nyota Ndogo alinukuliwa akisema ikiwa wanaume wanawavua nguo wanawake kwa kile wanachosema ni mavazi yasiyo ya kiheshima, basi na wanaume wanaolegeza long'i zao na wao basi pia wavuliwe nguzo zao.
Social Plugin