ANGALIA PICHA ZAIDI- VURUGU ZA LEO KWENYE MDAHALO JIJINI DAR ES SALAAM
Sunday, November 02, 2014
Pichani ni Mzee Warioba akitolewa nje baada ya vurugu zilizojitokeza katika Mdahalo wa "Mchakato wa Katiba Mpya, Maoni ya Wananchi na Katiba Inayopendekezwa" yaliyofanyika mapema leo hii Ubungo Plaza.
Social Plugin