Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Shinyanga ndugu Khamis Mgeja anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Halima Nchimika kilichotokea leo (Jumanne) asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho siku ya Jumatano nyumbani kwao huko Kahama mkoani Shinyanga.
Habari ziwafikie ndugu,jamaa na marafiki popote pale walipo.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho siku ya Jumatano nyumbani kwao huko Kahama mkoani Shinyanga.
Habari ziwafikie ndugu,jamaa na marafiki popote pale walipo.
Malunde1 blog inawapa pole wote waliofikwa na msiba huo.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu Halima.Amina.
<<BONYEZA MANENO HAYA TUKUTUMIE PICHA ZA VITUKO NA VICHEKESHO>>
Social Plugin