Binti wa Kinigeria (23) amefariki akiwa Bangkok wakati akifanyiwa upasuaji wa kutengeneza makalio ktk upasuaji uliomgharimu takribani Sh. Milioni 5.
Habari zinasema kuwa alifanyiwa upasuaji na kurudi nyumbani Nigeria alikoanza kuugua kutokana na Kuoza kwa ile sehemu aliyofanyiwa upasuaji kuongeza makalio, kisha akarudi kutibiwa upya huko Bankok lakini kwa bahati mbaya alivyokuwa anatibiwa upya akafariki….
Social Plugin