Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

JE UNAWAFAHAMU WALIOMVUA NGUO ZOTE MWANAMKE HADHARANI HUKO KENYA? SH 110,000 ZA KENYA NI ZAKO

<<BONYEZA MANENO HAYA TUKUTUMIE PICHA ZA VITUKO NA VICHEKESHO>>

A reward of Sh. 110,000 has been offered to anyone who can positively identify any of the Embassava touts who were involved in the stripping incident in Nairobi last Sunday.

The reward money will be given by former politician Esther Passaris together with Peter Nduati and Nation FM.

According to Esther, who is spearheading the ongoing #MyDressMyChoice demonstrations, the perpetrators of this disgraceful act should be brought to book.


Below is the message making rounds on social media;

KSH 110,000 REWARD if you can
positively identify the culprits in this video courtesy

of Nation FM, Esther Passaris & Peter Nduati. Let's GET THEM! #MyDressMyChoice

KILICHOTOKEA JANA NCHINI KENYA


Maandamano hayo yamefanyika chini ya kauli mbiu 'My dress my choice'

Wanawake mjini Nairobi, Kenya jana wameandamana kupinga kitendo cha mwanamke mmoja kuvuliwa nguo wiki jana kwa madai kuwa alikuwa amevalia sketi fupi sana.
Wanawake wengi walikerwa na kitendo hicho wakisema kuwa kila mwanamke ana haki ya kuvaa mavazi yanayomfurahisha.
Hiyo wiki jana kanda ya video ilisambazwa kwa mitandao ya kijamii ikionyesha mwanamke huyo ambaye hakutajwa jina hadi sasa akivuliwa nguo zake na wanaume katika kituo cha magari ya abiria kati kati mwa Nairobi.


Na wanaume walikuwepo kuwaunga mkono wanawake katika maandamano yao

Wanawake mashuhuri wakiwemo wasanii, wanasiasa na wanaharakati walilaani kitendo hicho wakihoji kwani mavazi ya mwanamke yanamhusu nini mwanamume ambaye sio mumewe wala jamaa yake.
Baadhi walikitaja kitendo hicho kuwa cha kinyama na kinachokiuka haki za wanawake.
Msanii mmoja mashuhuri Nyota Ndogo alinukuliwa akisema ikiwa wanaume wanawavua nguo wanawake kwa kile wanachosema ni mavazi yasiyo ya kiheshima, basi na wanaume wanaolegeza long'i zao na wao basi pia wavuliwe nguzo zao.
<<BONYEZA MANENO HAYA TUKUTUMIE PICHA ZA VITUKO NA VICHEKESHO>>

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com