Polisi wamemshikilia kijana aliyekuwa akifanya mapenzi na sanamu ya kuchezea watoto ndani ya Supermarket moja nchini Marekani.
Sean Johnson mwenye miaka19 alikamatwa na jeshi hilo baada ya kunaswa na wanunuzi wa bidhaa ndani ya Supermarket hiyo ya Walmart akiwa uchi huku akifanya ngono na mwanamke mwenye maumbile ya kike.
Taarifa ya jeshi hilo ilisema Johnson alikamatwa katika video iliyomuonyesha akiwa yupo busy na sanamu hiyo hadi alipogundulika na baadhi ya watu waliokua wakinua bidhaa.
Inasemekana alipokamatwa aliomba radhi lakini wateja walikataa na kumkokota hadi polisi pamoja na sanamu alilokua akifanya nalo kitendo hicho.
Social Plugin