Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MWILI WA RAIS WA ZAMBIA MICHAEL SATA WAWASILI NCHINI KWAKE,ANGALIA PICHA

Sata8
Mwili wa Rais wa Zambia, Michael Sata umewasili Zambia tayari kwa mazishi ambayo yamepangwa kufanyika November 11.

Mwili wa rais huyo umewasili uwanja wa ndege wa Kenneth Kaunda International Airport na kupelekwa Mulungushi International Conference Centre kwa ajili ya kuendelea na taratibu nyingine zilizopangwa na Serikali ya nchi hiyo kufanyika kabla ya mazishi.

Hizi ni picha 10 zikionyesha namna mapokezi yalivyokuwa katika jiji la Lusaka mwishoni mwa wiki iliyopita

Sata4

Sata5

Sata6

Sata9
Sata11

Sata10
Sata8

Sata7
Sata Kuwasili

Sata3
Picha: The Zambian Analyst

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com