Staa wa hit single kama ‘kioo’ na ‘kigeugeu’ mkenya Jaguar amerudi tena kwenye spika zetu kwa kuidondosha hii remix ya single yake mpya ya ‘One centimetre’ ambayo kamshirikisha mkali Iyanya kutoka Nigeria.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin