Swala la usafi wa Mazingira ni muhinu kwa kila mtu mazingira yanapokuwa machafu huhatarisha Afya na kusababisha magonjwa ya mlipuko, maeneo mbalimbali yamekuwa na vifaa maalum vya kutupia taka lakini kumekuwa na ugumu kwa baadhi ya watu kutumia vyombo hivyo na kusababisha uchafu wa Mazingira.
Kaunti ya Wasiligishu Kenya imepata sheria mpya baada ya Bunge la akanti ya Kyambuu kupitisha mswada unaopendekeza ada ya shilingi elfu kumi kama faini au kifungo cha miezi mitatau kwa mtu yoyote atakae kamatwa akitema mate hovyo au kupenga makamasi hadharani.
Lengo la Sheria hiyo mpya nikusaidia kuondoa maambukizi na maradhi mbalimbali yanayoweza kuambukizwa kwa njia ya hewa au maji sheria ambayo imepokelewa kwa hisia tofauti na wananchi.
MWANANCHI >>>…”Ubwa zinatembea hata tauni yenyewe ni chafu, hata ile ambayo tunaita suech suech system ilipotea, Mandago aache kusumbua watu afanye kazi atengeneze town atengeneze suech vitu zote zifloo, akikuja kwa mate na bigjii ile natema chini hapo ndio nitajua amefanya kazi”
MWANANCHI>>>…“Mapipa zao mwanzo waanze wafagie manane zinanuka sana inabidi mpaka hiyo mate huwezi meza hiyo mate inabidi utoe”