Mifano ya matajiri kama hawa ni mifano ya ukweli na inaweza kufanya kazi kwenye maisha yetu ya kawaida manake na wao walianzia kwenye maisha ya kawaida tu kama unayopitia/uliyopitia wewe lakini kwa sababu waliongeza ubunifu na bidii wakavuka kwenye kiwango cha kawaida.
Mtandao wa Forbes umetoa list mpya ya matajiri hamsini kutoka Afrika list ambayo inaongozwa na tajiri wa Nigeria ambae ni Mfanyabiashara maarufu na Rais wa kampuni ya Dangote Aliko aliyekuwa akishikilia nafasi ya arobaini na tatu kwenye list ya matajiri wa dunia lakini sasa kapanda mpaka nafasi ya ishirini na tatu.
Social Plugin