Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HUYU NDIYO MWANAMKE MREMBO KULIKO WOTE AFRIKA MAGHARIBI,USHAHIDI WA PICHA 10 ANGALIA

Juliet3

Jarida la burudani la A-Listers limemtaja star wa movie Juliet Ibrahim kutoka Ghana kuwa ndiye mwanamke mrembo zaidi Afrika magharibi.Juliet ambaye pia anafahamika kama Juliet Safo ni Mghana aliyechanganyika kutoka kwa baba mwenye asili ya Lebanon pamoja na mama mwenye asili ya Ghana na Liberia. Kati ya filamu alizowahi kucheza ni pamoja na Crime to Christ (2005), Honor My Will (2008), “Marriage of sorrows”(2009) na nyingine nyingi.

juliet10
Mtandao wa Naija Gists wa Nigeria umeandika habari hii lakini mwandishi ameonekana kutoridhishwa sana na kuhoji “Do you believe Juliet Ibrahim is indeed the most beautiful woman in West Africa abi dey wan say the most beautiful woman in Ghana?”
ANGALIA PICHA ZAKE ZINGINE HAPA CHINI
juliet1

juliet7 
juliet2
 j12
juliet5
juliet8
juliet9


juliet4
<<BONYEZA MANENO HAYA TUKUTUMIE PICHA ZA VITUKO NA VICHEKESHO>>

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com