![]() |
Hapa zoezi la kutambulishana kundi la Bhudagala Mwanamalonja na kundi la Mchelemchele |

Wanaendelea kutambulishana
![]() |
Aliyeshika upinde ni Mchelemchele,kulia kwake ni Bhudagala Mwanamalonja |
Bhudagala Mwanamalonja hivi sasa anatamba na nyimbo mbalimbali kama vile Kundi wa Ng'wamoto,Kanisani unapiga simu,Bhujingi,Mujini Nalisama,Nyabhulugu,Mashaka,Izumo,Rusia,Gomis,Zaina,Mele,Mapolu,Bhabha Shokaga,Ng'wanamalonja,Mama Rhoda, Ng'wanambelele na Amani, huku Mchelechele naye akijizolea umaarufu kwa nyimbo zake nyingi kama vile Ng'wana wa Ntemi,Wanafunzi,Alinilelela,Lushikulumo,
Mchelemchele na Bhudagala Mwanamalonja watafanya Show ya kufunga na kufungua mwaka tarehe 25.12.2014 ,siku ya sikukuu ya Krismas huko Ngudu Mjini na tarehe 01.01.2015 watafanya show Magu mjini kwenye uwanja wa mpira wa miguu
Mtandao Huu Unakujali,Ni Wako!! Tunataka Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozipandisha Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa Sasa Hivi ><<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>>MAGAZETI
Social Plugin