Watoto wenye ulemavu wa ngozi(Albino),watoto wasioona na wasiosikia wanaolelewa katika kituo cha Buhangija Jumuishi katika manispaa ya Shinyanga wakiwasili katika kiwanda maarufu cha Chakula cha Musoma Food mjini kwa ajili ya kula chakula kilichoandaliwa na uongozi wa kiwanda hicho lengo likiwa ni kuuaga mwaka 2014 na kukaribisha mwaka 2015 ikiwa ni utaratibu ambao kiwanda hicho kimejiwekea kuwa karibu na watoto hao ambao wanaonekana kutengwa na jamii-picha na Shaaban Alley-Shinyanga
Mkurugenzi
wa kiwanda cha Musoma Food bwana Said Makiragi maarufu kwa jina la Musoma Food akiwapokea watoto hao baada ya kuwasili katika kiwanda chake-picha na Shaaban Alley-Shinyanga
Mkurugenzi wa kiwanda cha Musoma Food bwana Said Makiragi akimshusha mmoja wa watoto hao kutoka kwenye gari baada ya kuwasili katika kiwanda hicho-picha na Shaaban Alley-Shinyanga
Nje ya kiwanda cha Musoma Food kabla watoto hawajaanza kula chakula.Kushoto ni Mama Mkurugenzi wa Musoma Food-picha na Shaaban Alley-Shinyanga |
Watoto wakiendelea kula chakula -picha na Shaaban Alley-Shinyanga |
Mkurugenzi wa kiwanda cha Musoma Food bwana Said Makiragi akigawa maji kwa watoto hao-picha na Shaaban Alley-Shinyanga |
Watoto wakila chakula -picha na Shaaban Alley-Shinyanga |
Watoto wakiendelea kula chakula -picha na Shaaban Alley-Shinyanga |
Mkurugenzi wa Shalleyhabari blog ndugu Shaaban Alley akiwa na mtoto Kabula ambaye alikatwa mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana kutokana na imani za kishirikina |
Social Plugin