Mtuhumiwa wa dawa za kulevya Abdul Koroma raia wa Sierra Leone amepigwa risasi na kufa leo asubuhi wakati akijaribu kutoroka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam.
Muonekano wa mahabusu aliyekuwa anatuhumiwa kubeba madawa ya kulevya, Abdul Koroma raia wa Sierra Leone baada ya kupigwa risasi.
Koroma akiwa kwenye machela tayari kwa kupelekwa kuifadhiwa hospitalini.
Mtuhumiwa wa madawa ya kulevya raia wa Sierra Leone akiwa amepigwa risasi baada ya kutaka kuwatoroka askari magereza katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mtuhumiwa wa madawa ya kulevya raia wa Sierra Leone akiwa amepigwa risasi baada ya kutaka kuwatoroka askari magereza katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba +255 688 405 951
Social Plugin