FUNGUA HABARI HII,INAKUHUSU WEWE UNAYESUBIRI MWAKA MPYA 2015
Wednesday, December 31, 2014
Mkurugenzi na Mmiliki wa Malunde Media inayomiliki Malunde1blog,Fahari ya Shinyanga (www.malunde1.blogspot.com) na Babu Blog (www.malunde.com)Ndugu Kadama Malunde wa Shinyanga anawatakia heri ya Mwaka mpya 2015 wasomaji wote wa blog hizi 2.
Tunaomba muendelee kutembelea blog hizi kwa habari za Ukweli na Uhakika katika mwaka 2015,tunaamini mtatupa ushirikiano zaidi ya mwaka unaoisha saa chache zijazo.
Unaweza kuwasiliana na ndugu Kadama Malunde kwa simu/ Whatsapp namba 068 8405 951 kama una chochote cha kumwambia kuhusu huduma za Malunde Mediakatika mwaka 2014 na nini afanye katika mwaka 2015.
Social Plugin