GARI YAUA WATU WATATU WALIOPANDA PIKIPIKI MOJA ,WANANCHI WACHOMA MOTO GARI


Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda...


Shuhuda wa Ajali hiyo Amehabarisha kuwa VX ilikuwa katika Mwendo mkali sana Dereva alijaribu kulipita gari la Mbele bila kuwa makini na kujikuta anakutana na Boda boda iliyokuwa imebeba watu watatu (Mshikaki) na Kuwagonga na wote Kufariki Hapo Hapo.

 Dereva wa XV Hakusimama Japo Tairi la Mbele lilikuwa nimepasuka, Baada ya mwendo kama mita mia sita alisimama na kupaki pembeni na kisha yeye na Abiria aliyekuwa naye kuchukua piki piki na kukimbilia Polisi...Wananchi wenye Hasira walikuta Gari tupu na Kuamua Kulichoma Moto

Name:  bunju.png
Views: 0
Size:  204.2 KB
gari ikiteketea kwa moto

Name:  bunju 2.png
Views: 0
Size:  336.5 KB
Mtandao Huu Unakujali,Ni Wako!! Tunataka Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozipandisha Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa Sasa Hivi ><<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>>

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post