Uchaguzi wa serikali za mitaa nchini
uliofanyika jana umeendelea kumwaga damu ambapo mwanamme aitwaye
Simeo Isaka (42),mkazi wa kijiji cha Ngokolo kata ya Bukomela wilayani Kahama mkoani
Shinyanga, ameuawa kwa kukatwa na jembe kichwani na watu wasiojulikana wakati akishangilia
ushindi wa mgombea wa Chadema ngazi ya mwenyekiti wa kijiji.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo.
Kamanda
wa polisi mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Na Kadama Malunde-Shinyanga.
Mtandao Huu Unakujali,Ni Wako!! Tunataka Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozipandisha Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa Sasa Hivi ><<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>>MAGAZETI
Mtandao Huu Unakujali,Ni Wako!! Tunataka Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozipandisha Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa Sasa Hivi ><<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>>MAGAZETI
Social Plugin