HII HAPA IDADI YA WATOTO WALIOZALIWA SHINYANGA WAKATI WA MKESHA WA KRISMASI
Thursday, December 25, 2014
Kaimu mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga Dkt Salum Mfaume.
Watoto 7 wamezaliwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga wakati wa mkesha wa Krismasi.Dkt Mfaume amesema watoto hao wa kiume 4,wa kike 3, wamezaliwa kati ya saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi na kwamba 6 wamezaliwa kwa njia ya kawaida na 1 kwa njia ya oparesheni na wote wakiwa na afya njema.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin