Hii Nayo Kali ya Kufungia Mwaka!!WANAWAKE WAPIGA PICHA ZA UTUPU KUCHANGISHA FEDHA,TAZAMA PICHA

Mtandao Huu ni  kwa ajili yako!! Tunapenda Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozitoa.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa <<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>> 
Wanawake wakiwa katika pozi kwa ajili ya kuchangisha fedha za East Anglian Air Ambulance.
...Wakipozi na vifaa vya kuendeshea farasi.
KUNDI la wanawake wenye umri kati ya miaka 19 mpaka 50 nchini Uingereza limeamua kupiga picha za utupu zitakazotumika kwenye kalenda  ikiwa ni mbinu ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wa East Anglian Air Ambulance ambao hutoa huduma za dharura za kitabibu kwa kutumia helkopta katika baadhi ya wilaya nchini England.
Pozi kwa ajili ya mavazi ya mwezi Desemba.
Price William ndiye rubani wa ndege itakayotumika kutoa huduma hizo za kitabibu katika baadhi ya maeneo nchini England.
Kundi hilo lina mpango wa kumtumia nakala ya kalenda hizo, Price William ambazo zitasaidia katika kukusanya fedha zitakazosaidia helkopta hiyo itakayokuwa inaendeshwa na mtoto huyo wa malkia wa Uingereza.
Wanawake 14 kutoka Huntingdonshire wamekubali kupiga picha za utupu katika pozi tofauti.
Mtandao Huu ni  kwa ajili yako!! Tunapenda Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozitoa.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa <<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>> 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post