Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Kizaa zaa Mkesha wa Krismas!! POLISI WANUSURIKA KUPIGWA BOMU,LAMLIPUKIA MRUSHAJI

 
Kutoka SONGEA tunaambiwa kuwa askari waliokuwa doria katika mkesha wa Krismasi wamenusurika kufa baada ya mtu mmoja kujaribu kulipua bomu maeneo ya MAJENGO na hatimaye kumlipukia na kufa papo hapo kabla ya kulirusha.
 
Wenzake walijitahidi kuutorosha mwili wake lakini POLISI wamefanikiwa kuudhibiti....mlipuko huo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com