Maajabu ya Dunia_KUTANA NA MAJENEZA YENYE MUONEKANO WA CHUPA ZA VINYWAJI MBALIMBALI!

img_1379



Kama ilivyo kawaida huwa hatuachi kitu ndio maana naendelea kuitimiza ile ahadi ya kushare na wewe kila story inayonifikia, ya leo no moja ya zile za kushangaza na kufurahisha katika kubwa tulizowahi kuzisikia ndani ya 2014.


Ulishawahi kufikiria kwamba kuna mtu atakuja kufanya design ya majeneza tofauti na tuliyozoea kuyaona?

Moja ya kipekee ilikuwa kutoka Kenya, ambapo lilitengenezwa jeneza kwa muundo wa kiti cha kukalia, ya leo iko tofauti.

Hii inatoka Ghana, jamaa wameunda majeneza haya kwa muundo wa chupa ya pombe na vinywaji mbalimbali, gharama yake unaambiwa ni kama dola 1,000 kila moja.

Wataalamu walioyaunda wamesema kwa wapenzi wa kinywaji husika anaweza kujichagulia aina ya jeneza ambayo angependezwa kuzikwa ndani yake.

clbu
Coffins-from-Ghana-7


N-Cercueil9-Teaser

TAB-fantasy-coffin


Mpenzi Msomaji,Tunapenda kukutumia Habari zetu zote mara tu Tunapoziweka Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa "HABARI" VITUKO "MAPENZI"MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba  +255 688 405 951

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post