Wakazi wa
Bukondamoyo katika Halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga wameingiwa na
hofu baada ya bibi kizee mmoja kudaiwa kudondoka kwenye ungo akidaiwa kutoka
mkoani Tabora kusherekea sikukuu ya Chrismas.
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo
lililokusanya umati mkubwa wa watu wamedai bibi kizee huyo alidondoka alfajiri
huku akidai alikuwa na wenzie watano ambao walifanikiwa kutoroka kuelekea
kijiji cha Ndugu kata ya Kinaga wilayani Kahama.
Aidha bibi kizee huyo baada ya kuhojiwa na mwandishi
wa habari hizi alisema anaitwa Chausiku huku akidai alikuwa akielekea katika
kijiji hicho cha Ndugu.
Hata hivyo jeshi la polisi wilayani Kahama
liliwahi kufika kwenye tukio na kumuokoa bibi kizee huyo ambaye alionekana
kuvaa nguo zilizochakaa na makovu katika mkono wake wa kushoto ambapo imedaiwa
alichubuka wakati akidondoka.
Tukio hilo limehusishwa na imani za
kishirikina kwa kuwa ungo ni kifaa kinachoaminiwa kutumika kwa nguvu ya giza
kupaa angani kama usafiri unaotumiwa na wanga katika shughuli zao za nguvu ya
giza ikiwemo uchawi.
Na Shija Felician - Kahama.
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba +255 688 405 951
WAKAZI wa Bukondamoyo
katika Halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga wameingiwa na hofu
baada ya bibi kizee mmoja kudaiwa kudondoka kwenye ungo akidaiwa kutoka
mkoani Tabora kusherekea sikukuu ya Chrismas
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo lililokusanya umati mkubwa
wa watu wamedai bibi kizee huyo alidondoka alfajiri huku akidai alikuwa
na wenzie watano ambao walifanikiwa kutoroka kuelekea kijiji cha Ndugu
kata ya Kinaga wilayani Kahama
Aidha bibi kizee huyo baada ya kuhojiwa na hili gazeti tando alisema
anaitwa Chausiku huku akidai alikuwa akielekea katika kijiji hicho cha
ndugu
Hata hivyo jeshi la polisi wilayani Kahama liliwahi kufika kwenye tukio
na kumuokoa bibi kizee huyo ambaye alionekana kuvaa nguo zilizochakaa na
makovu katika mkono wake wa kushoto ambapo imedaiwa alichubuka wakati
akidondoka
Tukio hilo limehusishwa na imani za kishirikina kwa kuwa ungo ni kifaa
kinachoaminiwa kutumika kwa nguvu ya giza kupaa angani kama usafiri
unaotumiwa na wanga katika shughuli zao za nguvu ya giza ikiwemo uchawi
Na Shija Felician - Kahama.
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Social Plugin