MASKINI DADA HUYU AJERUHIWA KWA RISASI NA MAJAMBAZI AKIONGEA NA SIMU

Mpita njia amejeruhiwa kwa risasi na Majambazi waliovamia na kupora ktk duka la Pesa Morocco, Kinondoni  jijini Dar es salaam.

Inaelezwa kuwa Majambazi walivamia kiduka cha M-PESA, tiGO PESA na Airtel Money; wakati wanaondoka wakawa wanapiga risasi ikampata huyu dada aliyekuwa anapita barabarani hajui hili wala lile.


Taarifa kutoka eneo la tukio zinasema kuwa risasi ilimpalaza upande wa kulia na kwamba amekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu.

Walimshoot baada ya kuonekana anaongea na simu, baada ya tukio la kumuibia dada mwingine, ambaye inasemekana alikuwa ametokea Mlimani City na pesa.


Tumefanikiwa kupata picha ya dada aliyepigwa risasi na majambazi(picha yake hapo juu)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post