
Kumetokea
ajali ya bodaboda mbili usiku huu saa tatu kasoro katika eneo la Mtaa wa Shule, barabara ya Sokoni-Polisi mjini Tabora mkoani Tabora.Mashuhuda wanasema ajali imetokea kutokana na madreva wote kuendesha katika mwendo kasi na kwamba mmoja wa
madereva hao hali yake ni mbaya amekimbizwa hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete.

Eneo la tukio

Wananchi wakiangalia moja ya pikipiki iliyopata ajali ambapo inadaiwa madereva wote wamekimbizwa hospitali
eneo la ajali
Wananchi wakiwa eneo la tukio
Mtandao Huu Unakujali,Ni Wako!! Tunataka Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozipandisha Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa Sasa Hivi ><<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>>MAGAZETI
Social Plugin