TAZAMA PICHA 10_RAIS KIKWETE AKUTANA NA MSANII DIAMOND PLATNUMZ ’ IKULU AWAPONGEZA YEYE NA IDRIS SULTAN KWA KUILETEA SIFA TANZANIA



unnamed-1


Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Naseeb Abdul "Diamond" na kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka 2014,Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23,2014
unnamed-4
Rais Kiwete akipata maelezo kutoka kwa Diamod wakati akimuonesha moja ya tuzo kati ya tuzo 5 za muziki za kimataifa alizoshinda mwaka 2014,Ikulu jijini Dar es salaam leo.Kulia ni mkurugenzi wa maendeleo ya Utamaduni katika wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo Profesa Hermas Mwansoko
unnamed-3
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa msanii Naseeb Abdul “Diamond”  juu ya ushindi wake wa  tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014
unnamed-2
Rais Kikwete akizungumza na msanii Diamond leo Ikulu jijini Dar es salaam
unnamed-5
Rais Kikwete akipokea CD mpya ya Diamond baada ya kuoneshwa tuzo 5 za muziki za kimataifa alizoshinda mwaka huu
unnamed-7
Rais Kikwete akizungumza kwa njia ya simu na msanii Idris Sultan ambaye ni mshindi wa shindano la mwaka huu la Televisheni la Big Brother Africa na kumpongeza kwa kuiletea sifa nchi ya Tanzania

unnamed-6
Tuzo 5 alizoshinda Diamond
unnamed-9
Picha ya pamoja_Rais Kikwete akiwa na msanii Diamond,kulia ni ni mkurugenzi wa maendeleo ya Utamaduni katika wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo Profesa Hermas Mwansoko,kushoto ni katibu wa bodi ya filamu Tanzania bi Joyce Fissoo
unnamed
Rais Kikwete akiwa na Diamond leo Ikulu
unnamed-8  
Rais Kikwete akimsindikiza msanii Diamond baada ya kufika Ikulu leo

Mpenzi Msomaji wetu,Tunapenda kukutumia Habari zetu zote mara tu Tunapoziweka Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa "HABARI" VITUKO "MAPENZI"MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba  +255 688 405 951

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post