ULIZIONA PICHA ZA AJALI YA LORI LA MIZIGO NA GARI NDOGO HUKO NZEGA ILIYOUA WATU WAWILI?
Friday, December 26, 2014
AJALI YAUWA WAWILI NZEGA TABORA
Ajali
iliyohusisha magari mawili imesababisha waliokuwa kwenye gari dogo
kupoteza maisha maeneo ya Nzega mkoani Tabora hapo juzi, inasemekana chanzo cha ajali ni speed
ya gari dogo na mvua kubwa iliyokuwa inanyesha eneo hilo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin