Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WALIOSHINDA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WAAPISHWA LEO MJINI SHINYANGA



Viongozi wa vyama vya siasa katika kutoka kata 17 za manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga waliopata ushindi katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba 14 mwaka 2014 leo wameapishwa na mwanasheria kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga Frank Samwel ambaye pia ni wakili wa kujitegemea tayari kuanza kuwatumikia wananchi.

 Viongozi hao wakiwa katika ukumbi wa Chuo cha Ualimu Shinyanga(Shycom) leo mjini Shinyanga ikiwa ni moja ya vituo vilivyotumika kuapisha viongozi hao,vituo vingine ni Old Shinyanga na Ibadakuli
Wenyeviti wa mitaa wakila kiapo

Wajumbe wakila kiapo


Bonyeza hapa Tukupe habari zote mara moja zikitoka "HABARI" VITUKO "MAPENZI"MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba  +255 688 405 951

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com