ANGALIA PICHA ZAIDI NA VIDEO TUKIO LILILOTIKISA MJI WA SHINYANGA JANA MAKABURINI
Sunday, January 04, 2015
Ndugu wa marehemu akifanya tambiko kwenye kaburi la marehemu Benadetha Steven aliyefariki dunia siku ya mwaka mpya Januari 1,2015 kitendo ambacho kiliwakera wananchi na jana mchana kuondoka eneo ala tukio kisha polisi kuwakamata ndugu wa marehemu na baadaye kuwaachia kisha kuruhusu mazishi yaendelea jana jioni japokuwa mwitikio wa wananchi ulikuwa mdogo
Ndugu wa marehemu akifanya yake kaburini,kulia ni kiboksi kilichokuwa kimebeba kuku aliyechinjwa kisha kuwekwa kwenye tumbo la marehemu na kuzikwa naye.TAZAMA VIDEO HAPA CHINI UONE TUKIO ZIMA
Social Plugin