Sherehe kubwa za mwaka kwa mwaka 2014 ni
kama zimeisha juzi baada ya kuupokea mwaka mpya 2015, kila mmoja
kasherekea kwa aina yake, Rais wa Marekani Barack Obama pamoja na familia yake nao walipata nafasi ya kutoka nje ya Ikulu ya White House na kwenda kuenjoy kama watu wengine.
Vacation ya Obama na familia yake imeendelea katika visiwa vya Hawaii, alikutana na watu mtaani akawapa salamu za mwaka mpya; “Happy New Year, everybody!“, akasalimiana nao halafu wakaendelea kula zao ice cream.
Picha zake na familia yake wakijienjoy hizi hapa.
Social Plugin