BASI LA MAGEREZA LAGONGA TRENI YA MIZIGO LAUA WATU 10,WAMO ASKARI NA WAFUNGWA

APTOPIX Fatal Wreck Prison Bus
Basi lililokuwa limebeba wafungwa Texas, Marekani kuwapeleka gerezani, wakiwa njiani basi liliteleza kutoka kwenye barabara kutokana na barafu na kuangukia kwenye reli ambako liligongana na treni ya mizigo.

APTOPIX Fatal Wreck Prison Bus
Katika ajali hiyo wafungwa nane na Askari Magereza wawili walifariki, taarifa kutoka Idara ya Magereza Texas inasema kuwa gari hilo lilikuwa na jumla ya wafungwa 12 na maafisa Magereza watatu ambapo wengine watano walipata majeraha kwenye mkasa huo na kupelekwa Hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Hizi ni picha za eneo la tukio.
Fatal Wreck Prison Bus Fatal Wreck Prison Bus

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post