MFUGAJI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA ASKARI HUKO SIMIYU
Thursday, January 01, 2015
Mfugaji jamii ya Kitaturu alivyokutwa amekufa baada ya kupigwa risasi na
askari wa wanayamapori wa kampuni ya uwindaji ya MWIBA katika eneo
tengefu la Maswa huko wilayani Meatu Mkoani Simiyu.
Social Plugin