KILA LA KHERI MZEE WA BLOG

 

Uongozi wa Malunde Media inayomiliki mtandao wa Malunde1 blog na Babu Blog unafuraha kubwa kumpongeza mkurugenzi wa Malunde Media Ndugu Kadama Malunde,mzaliwa wa Shinyanga ambaye alizaliwa katika Januari 8,miaka mingo iliyopita.Mbali na kuongoza mitandao hiyo ya kijamii pia ni mwandishi wa habari gazeti la Mtanzania na anafanya kazi na radio mbalimbali ndani na nje ya nchi
ya Tanzania.Mungu akupe miaka mingi zaidi na abariki kazi zako!!


PICHA ZAKE KATIKA POZI MBALIMBALI
 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post