Fredwaa Kulia Akiwa na Issa Michuzi |
Mtangazaji
anayejulikana almaarufu kama Fredwaa kutoka Radio Free Africa, sasa yu
ndani ya mjengo wa Radio Clouds kipindi cha Power Breakfast, akiungana
na Mbwiga, Gerald Hando, Boonge n.k. Mtangazaji huyu alijizolea umaarufu
katika kipindi chake cha asubuhi pale RFA, ambapo pamoja na mambo
mengine alikuwa na segment inaitwa Vodacom Top 5…
Bonyeza hapa Tukupe habari zote mara moja zikitoka "HABARI" VITUKO "MAPENZI", MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba +255 688 405 951
Social Plugin