VIONGOZI WA KUNDI LA PANYA ROADI BAADA YA KUKAMATWA NA JESHI LA POLISI HUKO TANDALE, WATU HAWA NDIO VINARA WALIOSABABISHA JIJI KUTOKALIKA KWA MASAA KADHAA |
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata jumla ya mbwa mwitu 510 ikiwa ni harakati za
kufichua kundi hilo kubwa na Panya road waliotikisa jiji La Dar es salaam hivi karibuni
Akizungumza
na waandishi wa habari ofisini kwake, kamanda wa polisi kanda maalum ya
Dareslaam amesema tayari jeshi hilo pia limefanikiwa kuwakamata
viongozi muhimu wa kundi hilo ambao mara kibao wameonekana kusaidia
kufanyika kwa vurugu hizo.
Social Plugin