KUTANA NA MWANAMKE WA SHINYANGA ANAYEJISAIDIA KWENYE NDOO HATAKI CHOO,SABABU IKO HAPA

bucketHekaheka ya leo Jan 8, kupitia Clouds fm inatokea hapa Shinyanga, ambapo watu  wanaishi nyumba moja wamemlalamikia mpangaji mwenzao kwa kitendo chake  cha kutokwenda chooni na kujisaidia kwenye mifuko na kutupa hovyo uchafu huo wakati wa usiku, baada ya kumlalamikia aliamua kutumia ndoo kujisaidia kwa madai kuwa  hawezi kwenda chooni kwa kuogopa ugonjwa wa UTI.
Mwanamke huyo alipoulizwa alisema huwa anajisaidia nyumba ya  jirani kwa rafiki yake kutokana na choo chao kujaa, amekataa kwamba huwa anajisaidia kwenye ndoo, amesema amekuwa akiogea ndani kwake pamoja na kufua na kisha kumwaga maji nje kitendo kinachowafanya wafikirie kuwa anajisaidia kwenye ndoo.
Isikilize hapa Hekaheka yote kwa kubonyeza play

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post