Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KUTANA NA REKODI ZA AJABU ZILIZOVUNJWA DUNIANI KOTE MWAKA 2014


Hii ndio baiskeli kubwa zaidi duniani kuwahi kutokea imetengenezwa huko nchini denmark na huyo mzee imeingia katika Guiness World Record 2014.




Pikipiki kubwa zaidi Duniani, imetengenezwa huko nchini Marekani lakini bado haidaanza kuwa na uwezo wa kutembea ila imeingia katika Guiness World Record 2014.




Huyu Jamaa ameingia kwenye Guiness World Record 2014 ya mwaka huu kwa kula pilipili kali 5000 ndani ya saa moja, ni mmarekani.




Mwendesha baiskeli huyu apandidha ghorofa lenye floo 88 kwa kutumia baiskeli yake hiyo nae ameingia mwenye kitabu cha Guiness World Record cha mwaka  2014.




Ng'ombe mwenye mapembe marefu zaidi duniani huyo nchini Australia, ana mapembe yenye urefu wa 277cm, ameingia kwenye Guiness World Record 2014 na kuwekwa kwenye kitabu chao.




Kampuni ya mbao nchini marekani imetengeneza mtego wa panya mkubwa zaidi duniani na kuingia katika Guiness World Record 2014. Mtego huu unafanya kazi kama ukitegwa na ni hatari sana unaweza kumuua hata binadamu.




Kampuni ya bia ya Guiness inchini Afrika ya Kusini imeingia kwenye Guiness World Record ya mwaka 2014 baada ya kutengeneza glasi kubwa ya Guiness ambayo ndani yake waliweka kinywaji cha bia yao ya Guiness yenye ujazo wa lita 1499.




Timu ya taifa ya Nigeria imeinga kwenye Guiness World Record 2014 baada ya kutengeneza jezi ya timu yao ambayo ndio jezi ya timu ya taifa kubwa zaidi duniani.


Bonyeza hapa Tukupe habari zote mara moja zikitoka "HABARI" VITUKO "MAPENZI"MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba  +255 688 405 951

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com