TAZAMA PICHA JINSI MJI WA SHINYANGA UNAVYOTISHA KWA BARABARA MBOVU

Kwa asiye mkazi wa Shinyanga, hapa ni katikati ya mji wa Shinyanga, barabara kuu ya Nkurumah kushoto lipo jengo la ghorofa mbili ambapo ndani yake kuna benki ya Posta.


 PAMOJA NA SHINYANGA KUWA NI MIKOA YENYE RASLIMALI NYINGI ZA ASILI IKIWEMO MADINI YA ALMASI NA DHAHABU, LAKINI BADO MAKAO MAKUU YA MJI HUO HAYANA TOFAUTI NA MIKOA AMBAYO HAINA RASLIMALI HIZO.

HALI HIYO INADHIHIRISHWA NA JINSI MIUNDOMBINU YAKE YA  BARABARA KWA MBOVU KATIKA MAENEO YOTE YA MJI HUO HATA ZILE ZILIZOJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI KIWANGO CHAKE NI CHA CHINI SANA.

TAZAMA PICHA ZAIDI NA HABARI KAMILI HAPA 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post