Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha George
Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana Januari 5, 2015.
Picha na OMR
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini nyaraka
wakati wa hafla fupi ya kumwapisha, George Mcheche, kuwa Mwanasheria
Mkuu wa Serikali, kwenye hafla hiyo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo mchana Januari 5, 2015.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimkabidhi
nyaraka za Serikali, George Mcheche, baada ya kumwapisha kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo mchana Januari 5, 2015.
.Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(wa kwanza kutoka kulia) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Spika wa Bunge la
Jamhuri, Anne Makindajaji Mkuu, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande
Othuman, Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose
Migiro na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Mcheche, aliyeteuliwa,
wakiwa katia ukumbi wakisubiri zoezi hilo la kuapishwa.
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na viongozi wa ngazi za juu.
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na wakuu wa Ulinzi na usalama
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na wanafamilia wa Bw. George
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi wenzake.
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi Tume ya Sheria.
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali aliyekuwa akisubiri kuapishwa, George Mcheche,
akizungumza jambo na viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, wakati wa
hafl hiyo..
Social Plugin