Matuko ya kupiga na kunyanyaswa wanawake bado yameendelea kuchukua nafasi katika nchi malimbali za Afrika.
Tumekuwa tukiona ripoti mbalimbali za
matukio mabaya ya unyanyasaji, kutoka Kenya mwanaume mmoja amefunguliwa
mashtaka baada ya jaribio la kutaka kumuua mke wake kwa madai alishindwa
kumpatia chakula cha moto.
Mwanaume huyo Peter Muthii
alimmwagia mkewe petrol akiwa amelala, akawasha moto na kumfungia ndani
ambapo muda mfupi baadaye majirani walikuja kumwokoa na kumkimbiza
hospitali.
Kisa cha tukio hilo kimetajwa kuwa ni
baada ya mwanaume huyo kurudi nyumbani usiku na kumtaka mkewe kumpashia
chakula lakini mkewe alimwambia apashe mwenyewe kitendo kilichomkwaza,
akaamua kumlipua kwa kutumia petrol iliyokua chini ya kitanda chao.
Bonyeza hapa Tukupe habari zote mara moja zikitoka "HABARI" VITUKO "MAPENZI", MAGAZETI,UDAKU>
Bonyeza hapa Tukupe habari zote mara moja zikitoka "HABARI" VITUKO "MAPENZI", MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba +255 688 405 951
Social Plugin