ANGALIA PICHA AJALI YA COASTER KUGONGA TRENI HUKO DODOMA


Basi la abiria aina ya Toyota Coaster likiwa limepinduka baada ya kuigonga treni.Basi la abiria aina ya Toyota Coaster lenye namba za usajili T 932 AFU linalofanya safari zake kati ya Nanenane na Ng'ong'ona mkoani Dodoma limepata ajali leo baada ya kugonga treni na kupinduka maeneo ya Benki Kuu mkoani humo.Tunaelezwa kuwa hakuna mtu aliyepoteza maisha

Taswira baada ya ajali hiyo.
Wananchi wakiwa eneo la ajali hiyo.
PICHA KWA HISANI YA GPL

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post