ANGALIA PICHA_ HUYU NDIYO ASKOFU MPYA WA KANISA KATOLIKI JIMBO LA SHINYANGA


Katikati ni Monsinyo Liberatus Sangu kutoka Jimbo Katoliki la Sumbawanga ambaye ameteuliwa na papa Francis kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Tanzania baada ya jimbo hilo kutokuwa na askofu tangu mwaka 2012 alipofariki askofu wa jimbo hilo Aloysius Balina.Mwenye suti  ni Father  Charles ambaye ni mkurugenzi wa idara ya elimu jimbo na vijana jimboni Sumbawanga,kushoto ni  Emmanuel Mathius Mayunga wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya uteuzi huo-Picha kutoka Maktaba yetu
Askofu Monsinyo Liberatus Sangu


Askofu Aloysius Balina enzi za uhai wake

BONYEZA MANENO HAYA KUSOMA HISTORIA YA ASKOFU MTEULE WA JIMBO LA SHINYANGA 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post