Habari kutoka Iringa zinasema kuwa kituo
cha polisi cha Ilula mkoani Iringa kimechomwa moto na wananchi wenye hasira
kufuatia polisi kumuua mwanamke mmoja mfanyabiashara ya mama ntilie
wakati wa msako maalum ulioendeshwa na jeshi la polisi dhidi ya
wafanyabiashara na watu wanaokunywa pombe mida ya kazi.
Inasemekana
wakati wa purukushani za kukimbia ndipo polisi mmoja alimchota mtama
huyo mama wakati anakimbia na kusababisha mama wa watu kuanguka na
kufariki dunia hapo hapo.BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
|
Muonekano wa mji wa Ilula mkoani Iringa baada ya wananchi kufunga barabara kuu ya mji huo.
Mabasi ya kwenda mikoani yakiwa yamepaki baada ya wananchi kufunga barabara.
BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Social Plugin