Tukio ambalo lilishtua wengi mwisho wa
wiki iliyopita ilikuwa ni ajali ya moto iliyotokea maeneo ya Kipunguni
Dar es Salaam ambapo watu sita wa familia moja walifariki baada ya
nyumba yao kuwaka moto usiku wakiwa wamelala.
Imehuzunisha wengi, Jana ilikuwa siku
ambayo ndugu, jamaa walikutana kufanya mazishi ya marehemu hao katika
Makaburi ya Airwing, Dar es Salaam.
picha zote kwa hisani ya Millard ayo.com |
Social Plugin