Habari
tulizozipata hivi punde ni kwamba mwanamme mmoja na mwanamke wamekutwa
wamenasana wakati wakifanya mapenzi kichakani katika milima ya Don bosco
iliyopo karibu na Shule ya Sekondari Donbosco katika kata ya Didia
wilaya ya Shinyanga vijijini mkoani Shinyanga.
Habari zinasema kuwa watu hao wamekutwa wamenasana katika mlima huo jioni hii wakati wakivunja amri ya sita huku ikidaiwa kuwa mwanamke huyo ni mke wa mtu.
Inaelezwa kuwa mwanamme ni mwendesha bodaboda anayefanya safari zake kutoka Didia hadi Buyubi na mwanamke anadaiwa kuwa mkazi wa kijiji cha Chembeli.
Inaelezwa kuwa mwanamme ni mwendesha bodaboda anayefanya safari zake kutoka Didia hadi Buyubi na mwanamke anadaiwa kuwa mkazi wa kijiji cha Chembeli.
Tutawaletea taarifa kamili hivi punde .....
Social Plugin