Duh!! Hii nayo Kali!! KIJANA AFANYIWA UPASUAJI WA KUPUNGUZA UUME WAKE

Daktari akifanya upasuaji wa uume.
Kijana mmoja wa miaka 17 nchini Uingereza amefanyiwa upasuaji kupunguza uume wake.
Mvulana mmoja amefanyiwa kile madaktari wanasema ni upasuaji wa kwanza wa kupunguza uume wake.
Kijana huyo wa miaka 17 alikuwa akilalamika kwamba hangeweza kushiriki katika tendo la ngono ama hata kushiriki katika michezo swala lililomshinikiza kuomba kupunguzwa uume wake.
Kabla ya kufanyiwa upasuaji huo uume huo ulikuwa na urefu wa nchi 7 na ukubwa wa nchi 10.
Daktari wa upasuaji Surgeon Rafael kutoka chuo kikuu cha Florida kusini ambaye alifanya upasuaji huo aliliambia gazeti la mail online kwamba ''kuna wakati ambapo kila daktari wa upasuaji hupata ombi la maajabu linalokuwacha kinywa wazi.
''Swali hilo ni Je, unaweza kuufanya uume wangu kuwa mdogo''?.
Kwa wale waliohitaji kufanyiwa upasuaji huo, uume wao haui mkubwa wakati unaposimama bali huwa mgumu.
Daktari huyo alisema kwamba wengu hufanyiwa upasuaji wa kukiongeza kiungo hicho na wala si kukipunguza.
Kijana huyo alifanyiwa matibabu hayo na kumaliza matatizo yake.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post