MAHABA NIUE!! JAMAA AFARIKI KWA KUGANDA KWENYE BARAFU AKITAFUTA MPENZI WAKE

Raia mmoja wa Uturuki aliganda na kuwa barafu baada ya kujaribu kuingia ndani ya ndege ili kwenda kumuona mpenziwe nchini Uingereza.


Hikmet Komur mwenye umri wa miaka 32 alitamani sana kumuona mpenziwe Luisa da Silva suala lililomlazimu kupanda katika gea ya kutua kwa ndege moja ya Uingereza nchini Istanbul.

Lakini alifariki alipokuwa katika safari kutokana na baridi kali ya vipimo vya chini vya -60c ambayo ilimuathiri ubongo wake.

Kabla ya safiri alimwambia mwanae kwamba atasafiri kwa siku chache.

Mwili wa bwana Komurs ulipatikana katika uwanja wa ndege wa Heathrow baada ya wafanyakazi katika uwanja huo kuona miguu ya binadamu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post