ANGALIA PICHA-WACHUMBA WAFUNGA NDOA NDANI YA JENEZA SIKU YA VALENTINE
Monday, February 16, 2015
Miongoni mwa
matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya
Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la
wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko
Bangkok, Thailand.
Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.
Chanzo: Daily Mail
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin