Tumezoea
kupata mialiko ya sherehe, hivi unaweza kuamini kuna mtu anaandaa
kabisa yani kadi ya kumkataza mtu asihudhurie sherehe yake!
Msichana huyo Alyssa
kutoka Adelaide, Australia aliondoka nyumbani kwa wazazi wake akiwa na
umri wa miaka 16 kutokana na kutokuwa na maelewano na baba yake, baada
ya hapo ilipita miaka 7 bila kuonana nao, ilipofika wakati anakaribia
kuolewa akaandika ujumbe huo kwa wazazi wake.
Katika ujumbe wake aliandika kuwa
hahitaji ushiriki wao katika harusi yao na watasherehekea kwa kukata
keki, kula chakula na mambo mengine bila uwepo wa wazazi hao; “Together
with our friends and family, Alex and Alyssa, would like to invite you
to suck it and bask in our happiness, your bitterness and our mutual
irritation at each other’s existence… As we completely ignore yours and
celebrate our marriage without you. There will be a lovely ceremony,
followed by cake, food and general merriment. And you’re not invited to
any of it. Because f*** you that’s why.”
Social Plugin