Maskini!! RAIS MUGABE AANGUKA BAADA YA KUHUTUBIA WANANCHI WAKE,TAZAMA PICHA HAPA

Mara tu baada ya kuwasili kutoka Ethiopia Jumatano hii, Raisi Wa Zimbabwe aliwasili nchini humo na kuhutubia wananchi waliofika kumpokea. Baada ya kuhutubia raisi huyo ambaye anafikisha miaka 91 tarehe 21 mwezi huu wa pili(Februari) alianguka akishuka katika ngazi kama ambavyo picha zinaonekana. Akiwa Ethiopia, Mugabe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU)
1. Alianza Kushuka Katika Ngazi 
2. Akakosea Kukanyaga Ngazi na Kuteleza


3. Akaanguka
CHANZO-Matukiotz.com

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post